Home Audio AUDIO Vivian – You Are God Mp3 Download

AUDIO Vivian – You Are God Mp3 Download

Mungu Wangu

AUDIO Vivian – You Are God Mp3 Download

Vivian comes through with yet another new Song titled You Are God” and is right here for your fast download

RELATED :Vivian – Good Vibes Mp3 Download

Listen & Download Vivian – You Are God Below: 👇

Lyrics

You Are God – Vivian (KE)
Wewe ni Mungu,
anayekutumainia hawezi aibika
Na wewe ni Munguuu
kwa yule atakayekuita unaitika
Ulinionesha penzi lako
when I didn’t deserve it(ooh)
Nikupe nini mwamba wangu,
umenishibisha na penzi lako
 You are God, you are God
You are God, you are God
You are God, you are God
You are God, you are God
 Kwenye giza we ni mwanga,
kwa njia niwe barabara
Unanilinda siwezi zama,
kwa giza niwe mwanga
Nakuomba shuka baba,
Uwepo wako nahitaji(nahitaji)
Usiposhuka baba imani yangu itazirai,
 Imani yangu, dhamani yangu,
Imani yangu, dhamani yangu
Imani yangu, dhamani yangu, Imani yangu..
 Wewe ndio nategemea,
ni wewe ndo wanipa nguvu
Ni wewe ndio naangalia,
ju wewe ndio tegemeo langu
Wewe ndio nategemea,
ni wewe ndo wanipa nguvu
Ni wewe ndio naangalia,
ju wewe ndio tegemeo langu
Nikupe nini mwamba wangu,
umenishibisha na penzi lako.
You are God, you are God
You are God, you are God
You are God, you are God
You are God, you are God
 Nakuomba shuka baba,
uwepo wako nahitaji
(nahitaji)
Usiposhuka baba imani yangu itazirai
Kwenye milima mabonde tumaini yangu ni we
Nijapopita baba uvulini mwa mauti sitaogopa
You are God and you are a friend
(You are God)
You are God of a multitude
(God)
You are God and you are a friend
(God)
And you stick closer than a friend
(God)
You are God, You are God
You are God, You are (God)
You are God, You are God
You are God, You are God